Kenya: Usalama waimarishwa wakati wa kuapishwa Uhuru Kenyatta | Matukio ya Afrika | DW | 08.04.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kenya: Usalama waimarishwa wakati wa kuapishwa Uhuru Kenyatta

Jeshi la Polisi nchini Kenya limetoa tahadhari kufuatia kuwepo kwa taarifa za kufanyika maandamano makubwa ya makundi ya watu kutoka maeneo tofauti nchini humo.

Uhuru Kenyatta kuapishwa kuwa rais wa nne wa Kenya

Uhuru Kenyatta kuapishwa kuwa rais wa nne wa Kenya

Uhuru Kenyata anatarajia kuapishwa kesho tarehe 09.04.2013. Kutoka mjini Nairobi Sudi Mnette amezungumza na Emanuel Kisiangani ambaye ni mtafiti mwandamizi kutoka katika taasisi ya masuala ya usalama (ISS) na kwanza alitaka kujua kuna uwezekano wa kufanyika maandamano makubwa nchini humo? Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada