Kenya: Shambulizi la Gruneti jijini Nairobi
19 Novemba 2012Matangazo
Shambulio hilo lililotekelezwa katika gari moja la abiria hapo jana (18.11.2012) ambapo watu saba walifariki na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa. Polisi wa kupambana na ghasia wamekabiliana na wandamanaji hao waliopora maduka, kuharibu mali na kisha kuuteketeza msikiti mmoja katika mtaa huo wa Eastleigh.
Mwandishi wetu Alfred Kiti kutoka Nairobi na taarifa zaidi.
(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Alfred Kiti
Mhariri: Saumu Yusuf