Kenya: Shambulio la Guruneti katika kanisa mjini Nairobi | Matukio ya Afrika | DW | 30.04.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kenya: Shambulio la Guruneti katika kanisa mjini Nairobi

Hali ya wasiwasi imerudi tena jijini Nairobi kufuatia shambulio la Guruneti hapo jana katika kanisa moja mjini Ngara ambako watu kadhaa walijeruhiwa.

Kanisa lililoshambuliwa kwa guruneti,Nairobi

Kanisa lililoshambuliwa kwa guruneti, Nairobi

Mtu mmoja aliuwawa katika tukio hilo.Polisi bado wanaendelea kumsaka mtuhumiwa.Kutoka Nairobi Mwandishi wetu Alfred Kiti ametutumia ripoti ifuatayo juu ya hali ilivyo kwa sasa.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Alfred Kiti

Mhariri AbdulRahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada