Kenya: Odinga apendekeza mfumo wa utawala wa bunge | Matukio ya Afrika | DW | 23.10.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Kenya: Odinga apendekeza mfumo wa utawala wa bunge

Muungano wa upinzani CORD sasa unataka kuondolewa kwa mfumo wa utawala wa urais na kurejeshwa kwa mfumo wa utawala wa bunge.

Raila Odinga ameonekana kuunga mkono hatua ya rais ya kukataa wazo la bunge la kuwashirikisha mawaziri katika vikao vya bunge.
Mwandishi wetu Alfred Kiti na ripoti zaidi. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Alfred Kiti

Mhariri: Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

IJUE DW

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com