1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Kampeni ya kukabiliana na ukeketaji wazinduliwa

31 Oktoba 2014

Kampeni ya kimataifa ya kukabiliana na ukeketaji wa wanawake yaani Female Genital mutilation - FGM imezinduliwa mjini Nairobi.

https://p.dw.com/p/1Deu3
Picha: picture-alliance/dpa

Kampeni hiyo imezinduliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki- Moon mjini Nairobi wakati wa siku ya mwisho ya ziara yake katika eneo la upembe wa Afrika.

Mwandishi wetu Alfred Kiti na taarifa zaidi. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za maskioni hapo chini.

Mwandishi: Alfred Kiti
Mhariri: Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi