Kenia: Mahojiano na Najib Balala baada ya kuondolewa katika baraza la mawaziri | Matukio ya Afrika | DW | 28.03.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kenia: Mahojiano na Najib Balala baada ya kuondolewa katika baraza la mawaziri

Waziri wa zamani wa Utalii nchini Kenya Najib Balala leo amekuwa na mkutano na waandishi habari mjini Nairobi siku mbili baada ya kuondolewa katika baraza la mawaziri.

Bunge la Kenya

Bunge la Kenya

Siku ya Jumatatu (26.03.2012) ,Rais Mwai Kibaki na Waziri mkuu Raila Odinga walifanya mabadiliko katika baraza la mawaziri, mabadiliko yaliomuondoa Balala katika wadhifa wake kama waziri wa utalii. Amina Abubakar amezungumza na Bwana Balala na kwanza anaelezea kile anachokiona kuwa ni sababu za kupoteza wadhifa wake.

(Kusikiliza mazungumzo hayo tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi :Amina Abubakar

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada