1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kaunti ya Turkana nchini Kenya yakanusha watu kufa kwa njaa

Hawa Bihoga
23 Machi 2023

Gavana wa Kaunti ya Turkana, Jeremiah Lomorukai Ekamais amekanusha taarifa zilizochapishwa na chombo kimoja cha habari nchini humo, zikisema watu sita wamekufa kwa njaa katika kaunti hiyo iliyoko kaskazini magharibi mwa Kenya. Hawa Bihoga amezungumza na kiongozi huyo.

https://p.dw.com/p/4P8Gh
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Mahojiano