1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karibuni

Amina Mjahid
27 Septemba 2019

Karibuni leo hii inawakaribisha wageni vijana kutoka Tanzania, wanamazingira hawa walioitembelea jengo la DW Bonn. Watazungumza mengi na muadishi wetu Sudi Mnette, Lakini pia utapata ujuzi wa lugha, maana kiswahili hakina ulimi mmoja tu wa kukitamka, bali kina ndimi nyingi ziitwazo lahaja. Haya yote utayasikia hapa katika makala ya Karibuni.

https://p.dw.com/p/3QN2R