Karibu mwezi mtukufu wa Ramadhan | Media Center | DW | 24.04.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Karibu mwezi mtukufu wa Ramadhan

Kipindi cha Karibuni kimetowa nafasi ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao ni sehemu ya nguzo tano muhimu kwa Waislamu dunia nzima.Katika makala hii sikiliza hotuba ya Sheikh Yusuf Abdi kutoka Mombasa Kenya akisisitiza Ramadhani ya mwaka huu 2020 ni ya kipekee kutokana na janga la Corona lakini pia amesisitiza ni muhimu kwa Waislamu kufanya ibada majumbani mwao na sio misikitini

Sikiliza sauti 30:06