1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampuni ya maduka ya Tuskys Kenya iko hatarini kufilisika

Zainab Aziz
22 Julai 2020

Kampuni inayomiliki maduka makubwa ya bidhaa ya Tuskys Supa market ya nchini Kenya imo katika hatari ya kufilisika, kama ile ya Uchumi, Nakumatt,Ukwala, Shoprite na nyinginezo ambazo zilifisika katika miaka ya hivi karibuni. Sababu kubwa ni madeni jee hali hii ya madeni inasababishwa na nini?David Ndii ni mchumi kutoka jijini Nairobi ambaye anatoa mtizamo kuhusu hali hiyo.

https://p.dw.com/p/3fgQA