Kampeni za uchaguzi zaanza nchini Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 31.01.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kampeni za uchaguzi zaanza nchini Kenya

Nchini Kenya,wakati huu wagombea wakiwa katika kampeni za kunadi sera zao kuelekea uchaguzi mkuu, tayari wagombea wa juu wa kiti cha urais,sambamba na wagombea wenza wamekwisha orodheshwa rasmi katika orodha ya wagombea.

Matayarisho ya uchaguzi nchini Kenya 2013

Matayarisho ya uchaguzi nchini Kenya 2013

Jumla ya wagombea wanane watawania kiti cha urais katika uchaguzi huo. Kwa kutaka kujua hali ya mambo ilivyo Sudi Mnette amezungumza na Bobby Munga ambaye ni mchambuzi wa siasa za taifa hilo akiwa mjini Nairobi na kwanza anadokeza hali ilivyokuwa wakati wagombea wawili wakuu wa Urais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga walipoidhinishwa na Tume Huru ya Uchaguzi. Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada