Kampeni ya Mama Misitu nchini Tanzania13.05.201613 Mei 2016Mama Misitu Campaign ni mradi unaosimamia uzalishaji wa mkaa endelevu kuwahamasisha wachomaji mkaa kukata miti kutoka maeneo yaliyosajiliwa na mali asili wapate elimu kuhusu uchomaji mkaa na upandaji miti.https://p.dw.com/p/1Ind4Picha: DW/V. NatalisMatangazo