Kampeni ya lishe bora Tanzania | Media Center | DW | 06.12.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kampeni ya lishe bora Tanzania

Asilimia kubwa ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakikumbwa na magonjwa mbalimbali ambayo ni tishio kwa afya zao, hali ambayo inapelekea kuibua juhudi na mikakati mingi ili kuweza kunusuru afya za watato hao. Miongoni mwa magonjwa hayo ni malaria, nimonia, utapiamlo, kwashakoo, surua, degedege, na magonjwa mengineyo. Ni makala ya afya yako.

Sikiliza sauti 09:45