Kampala: Mazungumzo kati ya serikali ya DRC na waasi wa M23 | Matukio ya Afrika | DW | 10.12.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kampala: Mazungumzo kati ya serikali ya DRC na waasi wa M23

Mazungumzo baina ya ujumbe wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo pamoja na waasi wa kundi la M23 yameanza rasmi mjini Kampala Uganda, chini ya usuluhishi wa mwenyekiti wa nchi za kanda ya maziwa makuu.

Mazungumzo yameanza rasmi mjini Kampala kati ya serikali ya DRC na waasi wa M23

Mazungumzo yameanza rasmi mjini Kampala kati ya serikali ya DRC na waasi wa M23

Mazungumzo hayo yataendelea, licha ya mkasa uliotokea jana, baada ya ujumbe wa waasi kuilaumu serikali ya Kongo kuwa inawafadhili waasi kutoka nchi jirani na walio tishio kwa usalama wa nchi hizo pamoja na raia wa mashariki mwa Kongo.

Mwandishi wa DW John Kanyunyu anahudhuria mazungumzo hayo na ametutumia ripoti ifuatayo kutoka Kampala.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada