Kampala: Mazungumzo kati ya serikali ya DRC na M23 yaendelea | Matukio ya Afrika | DW | 09.04.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kampala: Mazungumzo kati ya serikali ya DRC na M23 yaendelea

Mazungumzo ya amani kati ya serikali ya kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 ambayo yalikuwa yamesitishwa kwa kipindi cha wiki tatu yamerejelewa tena mjini Kampala.

Mazungumzo kati ya Kongo und M23 huko Kampala

Kwenye kikao cha kufungua awamu ya tatu ya mazungumzo hayo, ujumbe wa serikali ya Kinshasa ulisema njia ya kipekee ya kuhakikisha kuwa waasi wa M23 hawatashambuliwa na wanajeshi wa Umoja wa Mataifa ni kwa kuhakikisha kuwa mazungumzo yanafanikishwa. Mwandishi wetu wa Kampala leylah Ndinda na taarifa zaidi.

Insert

Mwandishi Leyla Ndinda

Mhariri Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada