Kamata kamata ya Garissa, Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 23.04.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Kamata kamata ya Garissa, Kenya

Zaidi ya watu 100 wanaripotiwa kukamatwa katika mji wa Garissa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, katika msako ambao mafisa wa polisi wanawatafuta wahalifu ambao wamekuwa wakivuruga usalama katika eneo hilo.

Kenyan security forces secure the African Inland Church after an attack in Kenya's northern town of Garissa, July 1, 2012. Masked attackers killed at least 17 people on Sunday in gun and grenade attacks on churches in a Kenyan town used as a base for operations against al Qaeda-linked insurgents in Somalia. REUTERS/Chris Mann (KENYA - Tags: SOCIETY CIVIL UNREST RELIGION)

Eneo la Garissa

Hata hivyo kumekuwepo shutuma kutoka miongoni mwa wakazi, kwamba polisi wanatumia nguvu za ziada, na wanawatia mbaroni hata wasiohusika. Daniel Gakuba amezungumza na mwandishi wa habari aliyeko mjini Garissa, Abdulsalaam Athman. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

Mwandishi: Daniel Gakuba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada