1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kama kijana, unaamini katika ushirikina?

Sylvia Mwehozi21 Septemba 2018

je imani za kishirikina au waganga wa kienyeji ni njia unayotumia kukuletea maendeleo? Au kutafutia ufumbuzi wa maisha yako? je unaamini katika uchawi na mambo ya kishirikina? ndiyo maswali yanayodajiliwa katika leo katika kipindi cha Vijana Mubashara, kikiletwa kwako na Sylvia Mwehozi

https://p.dw.com/p/35IEA