1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kabumbu Tanzania-Brazil

8 Juni 2010

Jana Watanzania walikuwa wenyeji wa mchezo muhimu wa kihistoria wa kandanda ambapo timu yao ya Taifa Stars ilimenyana na timu ya Brazil.

https://p.dw.com/p/NlPx

Taifa Stars ilibandikwa mabao matano kwa moja. Othman Miraji alipata maoni yafuatayo kutoka kwa Watanzania kuhusu mchezo huo: