Tembelea tovuti mpya ya DW

Tazama toleo la beta la dw.com. Bado hatujamaliza! Maoni yako yanaweza kutusaidia kuiboresha.

  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Julian Assange

Julian Assange ni mhariri wa mtandao wa WikiLeaks aliyesimamia uchapishwaji wa nyaraka kadhaa za siri kutoka serikali kadhaa duniani.

Assange anatakiwa nchini Marekani na Sweden akihusishwa na uchunguzi wa masuala ya uhalifu. Kwa kuhofia kukamatwa na kupelekwa kwenye nchi hizo, Assange aliomba na kupatiwa hifadhi ya kisiasa na Equador na tangu mwaka 2012 amekuwa akiishi kwenye ubalozi wa nchi hiyo mjini London, Uingereza.

Onesha makala zaidi