1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za wanawake katika jamii za wafugaji

Wakio Mbogho/MMT17 Oktoba 2018

Wanawake katika jamii za wafugaji hukabiliwa na changamoto mbalimbali. Katika makala ya Wanawake na Maendeleo, Wakio Mbogo anaangazia juhudi za wanawake kutoka jamii za wafugaji kutambua uwezo na nafasi zao ili kujiimarisha katika jamii

https://p.dw.com/p/36g9h