1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kuzuwia kupotea kwa misitu asilia ya Kongo

20 Julai 2022

Tani milioni mbili za mkaa hutumika kila mwaka katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa, kupikia na kupasha maji moto, lakini matokeo yake ni kuangamia kwa misitu asilia ya taifa hilo la pili kwa misitu mikubwa duniani. Kurunzi inaangazia juhudi za kupambana na hali hii.

https://p.dw.com/p/4EPHM