Juhudi za kumkomboa mwanamke ni endelevu | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 08.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Juhudi za kumkomboa mwanamke ni endelevu

Mradi unaofadhiliwa na "Mfuko Wa Wanawake Tanzania" na kuendeshwa na shirika la kijamii liitwalo Sauti Jamii unasaidia kuwanusuru wanawake na wasichana wanaoishi pembezoni mwa jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania dhidi ya manyanyaso ya kingono na ukandamizaji dhidi yao. Tizama video ya Ahmed Juma

Tazama vidio 02:25