Jitihada za kupunguza joto ulimwenguni | Masuala ya Jamii | DW | 19.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Jitihada za kupunguza joto ulimwenguni

Kipindi cha Mtu na Mazingira kinaangazia harakati za shatua za maendeleo katika kupambana na mabadiliko ya tabia nchi na kufanikisha matarajio yaliyoletwa na makubaliano ya Paris yaliofikiwa mwishoni mwa mwaka 2015.

Ice Blog Grönland Arktis Meer Eis Eisberg Gletscher

Athari za kuyeyuka kwa theluji katika maeneo ya bahari katika mzingo wa Aktik

Kusikilizia kipindi cha "Mtu na Mazingira" kilichotayarishwa na Mohammed Dahman bonyeza kitufe cha alama ya kusikilizia masikioni hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com