1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jinsi kilimo cha Pareto kinavyobadilisha maisha ya wakulima nchini Kenya

16 Machi 2023

Wakulima wa zao la Pareto nchini Kenya wameanza kuona faida ya kilimo hicho. Maua hayo hukaushwa mara baada tu ya kuyachuma. Maua hayo husagwa kiwandani ili kupata sumu aina ya "pyrethrin" ambayo hutumika kwa ajili ya kutengeneza dawa ya kuua wadudu waharibifu.

https://p.dw.com/p/4OnqN