Jinsi kalunguyeye, ndege na panya wanavyoishi kwenye majira ya baridi | Mada zote | DW | 07.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Jinsi kalunguyeye, ndege na panya wanavyoishi kwenye majira ya baridi

Je, wanyama wadogo wenye miguu dhaifu wanaishi vipi kwenye majira ya baridi kali, wakati tunapotetemeka licha ya kuwa tunavalia mavazi maalum, viatu na glovu? Wanyama hawa hutumia mbinu kadha wa kadha.