1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jeshi la Msumbiji ladhibiti mji wa Mocimboa da Praia

9 Agosti 2021

Vikosi vya Msumbiji vikisaidiwa na wanajeshi wa Rwanda vimesema jana kuwa vimewafurusha wanamgambo wa itikadi kali waliokuwa wanaudhibiti mji muhimu wa bandari wa Mocimboa da Praia katika eneo la kaskazini mwa nchi hiyo lenye utajiri wa gesi.

https://p.dw.com/p/3ylTE