1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, vijana wanaoingia kwenye siasa wana nia ya mabadiliko?

22 Agosti 2018

Katika bara la Afrika idadi kubwa ya wanasiasa tangu jadi wamekuwa ni watu walio na umri mkubwa. Lakini katika miaka ya hivi karibuni inaonekana wimbi la mageuzi limekuwa likilipiga katika bara hilo, kwani vijana nao wamekuwa wakijitosa katika siasa wakiwa na nia ya kuwaondoa viongozi waliokuwa madarakani kwa muda mrefu katika nyadhfa mbali mbali.

https://p.dw.com/p/33bFR