1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je unazijua kofia za vito?

Amina Mjahid
5 Desemba 2022

Hizi ni Kofia za kitamaduni zinazopatikana sana katika jamii ya waswahili kutoka maeneo ya pwani. Kofia hizi zipo za aina tofauti na utengenezaji wake sio rahisi bali ni ujuzi unaopatikana katika visiwa vya Lamu, Mombasa na Zanzibar.

https://p.dw.com/p/4KUeD