1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je unaufahamu ugonjwa wa afya ya akili?

Amina Mjahid
10 Oktoba 2019

October kumi kila mwaka ni siku ya afya ya akili duniani, ambapo wataalamu na hata wanasiasa hutumia siku hii kuamsha ari ya jamii kutambua tatizo la afya ya akili, kujua kinga na hata matibabu inapotokea mtu kuugua ugonjwa wa akili. Prosper Kwigize anakueleza zaidi katika makala hii ya afya.

https://p.dw.com/p/3R2oV