1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, unatenda mambo mema kila siku ya maisha yako?

5 Aprili 2022

Imezoeleka watu hutiana shime kutenda mambo mema wakati wa miezi mitkufu mfano Ramadhan na siku arobaini za kufunga za Kwaresma. Baada ya hapo wengi hurejea kwenye maisha ya kawaida ya kutenda yale yanayozuiwa kidini na hata kiutamaduni. Wewe ni miongoni mwa hao? Kama sivyo umewezaje kuishi kwa kutenda wema wakati wote?

https://p.dw.com/p/49UPC