1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, unalifahamu tatizo la mguu kifundo au nyayo zilizopinda?

Hawa Bihoga28 Julai 2021

Mguu kifundo ni aina ya ulemavu ambao mtoto anazaliwa nao baada ya kupatikana na hitilafu katika mifupa ya kwenye nyayo. Chanzo cha tatizo hilo hakijakuwa bayana ila wahusika hulazimika kutembea kwa kutumia sehemu ya nje ya unyayo, hali inayoleta matatizo. Katika makala hii ya Afya, Hawa Bihoga analiangazia tatizo hili kwa kina.

https://p.dw.com/p/3yByz