1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MuzikiTanzania

Je unaijua Bendi ya wanawake inayovuma Tanzania?

Amina Mjahid
9 Novemba 2022

Bendi ya Muziki ya Bahati Female Band inayowajumuisha wanawake watupu wachapa kazi, inaendelea kuwa maarufu kutokana na namna inavyo piga vyombo vya muziki na kuimba kwa msisimko na umahiri wa aina yake nchini Tanzania. #kurunziwanawake09.11.2022

https://p.dw.com/p/4JGA0