1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je unae Valentine?

11 Februari 2021

Siku ya wapendanao kila mmoja anaringa na kudeka kwa anayempenda, je wewe mwenzangu unaye nyongo wako mkalia ini? au ndo unasubiri kushika tama na kusononeka? Usijali kuna mbinu ya kuondowa msongo wa mawazo endapo fikra za kumuwaza habibi zitakuzidi nguvu. Ungana na Saumu Mwasimba katika kipindi cha Karibuni

https://p.dw.com/p/3pEVR