1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je ni lazima harusi yako igharimu mamilioni ya fedha?

8 Agosti 2018

Harusi ni mojawapo ya matukio muhimu katika jamii, ni siku ambayo wanandoa wanapenda ibaki katika kumbukumbu. Na kadri miaka inavyosonga, ndivyo sherehe za harusi zinavyozidi kuimarika na kukua. Tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma, siku hizi sekta hiyo inawapa na inaendelea kuwapa wajasiriamali wengi fursa ya kuwekeza katika harusi. Karibu katika vijana mchakamchaka, nahodha ni Bruce Amani.

https://p.dw.com/p/32nyL