Je mgogoro wa Libya wageuka kuwa wa Mataifa ya nje? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 20.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Je mgogoro wa Libya wageuka kuwa wa Mataifa ya nje?

Baadhi ya Nchi za Umoja wa Ulaya zajitumbukiza moja kwa moja kwenye mgogoro wa Libya,yakitajwa hasa kuwa na nia ya kuzuia wakimbizi na wahamiaji kutoka Libya kutumbukia kwenye nchi zao. Wakati Jenarali mbabe wa kivita Khalifa Khaftar akiungwa mkono na nchi KAMA Ufaransa,Urusi na nyingine, Uturuki yajitowa kifua mbele kumsaidia waziri mkuu Fayez al Seraj. Ni nani wakuiokoa Libya? Sikiliza Maoni

Sikiliza sauti 39:11