1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je malengo yako kama kijana ni yapi mwaka huu wa 2019?

Sylivanus Karemera4 Januari 2019

Je vijana wanazungumziaje mwaka uliomalizika wa 2018? Je walifanikisha yaliyokuwa matarajio na maazimio yao? Je wanatarajia nini katika mwaka mpya wa 2019? Ni miongoni mwa masuala ambayo vijana wanajadili wakiwa Kigali Rwanda kwenye kipindi cha Vijana Tugutuke. Kiongozi wa mjadala wakati huu ni Syvanus Karemera

https://p.dw.com/p/3B2nB