1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, kuondoka kwa MONUSCO ndio suluhu ya machafuko ya DRC?

Saleh Mwanamilongo16 Agosti 2022

Maandamano ya kutaka kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Congo, Monusco kuondoka nchini humo yalisababisha watu 36 kupoteza maisha wakiwemo wanajeshi wanne wa umoja huo. Wakongomani wanadai kuwa MONUSCO imeshindwa kufanya vya kutosha kusitisha machafuko yaliyodumu kwa miongo kadhaa. Kwenye Kinagaubaga, Saleh Mwanamilongo amezungumza na Seneta wa mji wa Lubumbashi Francine Muyumba.

https://p.dw.com/p/4Fax4