1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je huwa unafanya nini unapopata matokeo mabaya ya mtihani?

25 Januari 2022

Tunakiuliza ikiwa wewe ni mwanafunzi huwa unafanya nini unapopata matokeo mabaya ya mitihani? Na je ikiwa wewe ni mzazi, mtoto wako anapofanya vibaya kwenye mitihanj huwa unapokea vipi taarifa hizo na unamsaidia kwa njia zipi ? Lakini kwanza tizama maoni ya vijana hawa kisha nawe utupe maoni yako.

https://p.dw.com/p/463A5