1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Jamhuri ya Malta

Malta ni nchi ya kisiwa kusini mwa Ulaya iliyopo kwenye bahari ya Mediterrania.Mji wake mkuu ni Valletta. Ilijiunga na Umoja wa Ulaya mwaka 2004, na Kanda ya Sarafu ya Euro mwaka 2008.

Jina rasmi la Malta ni Jamhuri ya Malta. Ikiwa na takribani watu 450,000 na ukubwa wa kilomita 316 za mraba, Malta ni mmoja ya mataifa yenye msongamano mkubwa zaidi wa watu duniani. Inaundwa na visiwa kadhaa ambapo vitatu tu kati yake ndiyo vinakaliwa. Huu ni mkusanyiko wa moja kwa moja wa maudhui za DW kuhusu Malta.

Onesha makala zaidi