1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Jacob Zuma

Jacob Gedleyihlekisa Zuma, GCB ndiye rais wa Afrika Kusini kwa sasa, aliechaguliwa na bunge baada ya ushindi mkubwa wa chama chake cha ANC mwaka 2009. Alichaguliwa tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2014.

Zuma ndiye rais wa chama cha Africa National Congress ANC, na alikuwa naibu wa rais kuanzia 2005 hadi 1999. Alichaguliwa kuwa rais wa ANC Desemba 18, 1997 baada ya kumshinda rais wa wakati huo Thabo Mbeki katika Mkutano Mkuu wa ANC uliyofanyika mjini Polokwane. Alichaguliwa tena kuiongoza ANC mwaka 2012, akismshinda Kgalema Montlanthe kwa tofauti kubwa sana ya kura. Zuma amekabiliwa na changamoto kadhaa za kisheria, zikiwemo tuhuma za rushwa, na majaribio ya kumvua madaraka kupitia bungeni.

Onesha makala zaidi