IGP wa Msumbiji azungumzia machafuko ya Cabo Delgado | Media Center | DW | 24.08.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

IGP wa Msumbiji azungumzia machafuko ya Cabo Delgado

Katika Kinagaubaga, Sudi Mnete amezungumza na Mkuu wa jeshi la polisi wa Msumbiji IGP Bernadino Rafael kufahamu operesheni za kijeshi katika kupambana na waasi katika jimbo la Capo Delgado. Operesheni hizo zimepata nguvu baada ya Rwanda kupeleka wanajeshi wake kuungana na wanajeshi wengine wa SADC.

Sikiliza sauti 09:45