Meghan Markle aungwa mkono kuibuwa ubaguzi kwenye Ufalme wa Uingereza
Baada ya mke wa Mwana Mfalme Harry wa Uingereza kuibuwa kashfa kubwa ya ubaguzi wa rangi ndani ya familia ya kifalme, watu kadhaa mashuhuri wamejitokeza kumuunga mkono na kutaka ufalme ubadilishe mtazamo wake.