Kataa Ukeketaji | DW
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Rasierklinge mit Blut (Fotolia.de)

Kataa Ukeketaji

    

Mahojiano na mwanaharakati anayepigania ukeketaji

Themenbild Interview (DW)

Sophia Chinyezi amezungumza na Domtila Chesang ambaye ni mwanaharakati anayefanya kazi katika kundi linalojisaidia na kujisimamia lenyewe kwa jina 'Kepsteno Rotwo', lenye maana ‘Kuondokana na Kisu’ kwenye eneo la Pokot, Magharibi nchini Kenya. Kwanza anaelezea sababu za zoezi hilo kuendelea licha ya kuwepo kwa sheria inayoipinga. 

Sikiliza sauti 09:47
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Umoja wa Mataifa: Ajenda ya 2030 ya malengo ya maendeleo endelevu inataka ukeketaji ukomeshwe kabisa ifikapo 2030

Tansania Flagge

Yusra Buwayhid amezungumza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile kutaka kujua jitihada zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania kuhakikisha inafikia lengo hilo? 

Kenya: Juhudi za kukabiliana na ukeketaji zimefikia wapi kwenye eneo la Narok?

Tansania Land grab massai männer (DW)

Tunaelekea eneo la Narok nchini Kenya ambalo hukaliwa na jamii ya Wamasai, walio na tamaduni hiyo ya ukeketaji. Sylvia Mwehozi amezungumza na Christopher Muray anayefanya kazi na shirika la kuwatetea watoto wa kike katika eneo hilo. Kwanza amemuuliza ikiwa mwezi huu wa Desemba ndio msimu wa ukeketaji hali ikoje hapo Narok na juhudi za kukabiliana na ukeketaji zimefikia wapi? 

Sikiliza sauti 09:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)