1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Huduma mbovu kwa wathirika wa volkano mjini Goma

31 Mei 2021

Tangu kuripuka kwa volkano Nyiragongo mjini Goma,jimboni Kivu ya Kaskazini,huko DRC, watu zaidi ya laki nne waliyahama makaazi yao nakujielekeza katita maeneo yaliyo agizwa na serikali ,ukiwemo wa Sake kusini mwa Goma, hata hivyo wakimbizi hao wanapitia wakati mgumu.

https://p.dw.com/p/3uEe4