1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Harakati za Wanawake kuwaokoa Wendawazimu

Faiz Musa/MMT26 Februari 2020

Matatizo ya akili ni jambo linalowaathiri watu wengi duniani na huanza kama msongo wa mawazo kisha mtu kuwa aliyerukwa kabisa na akili. Mjini Mombasa baadhi ya wanawake wameingiwa na huruma na kuanza kuwakusanya watu walioshikwa na wazimu na kuwafikisha katika hospitali maalum. Makala ya Wanawake na Maendeleo inalitazama hilo na msimuliaji ni Faiz Musa.

https://p.dw.com/p/3YRqg