1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Hannover

Timu ya Hannover ilianzishwa mwaka 1896 na ilianza kupata ushindi hata kabla ya kujiunga na ligi ya kandanda ya Ujerumani – Bundesliga.

Ilijiunga na ligi ya Bundesliga miaka ya baadae kufuatia ushindi wake wa ligi ya kanda ya kaskazini. Hannover ni timu ya wastani ingawa imeshawahi kushiriki katika mashindano ya kombe la Ulaya mara tatu tofauti.

Onesha makala zaidi