Hali ya usalama baada ya mashambulizi dhidi ya Rais mpya wa Somalia | Matukio ya Afrika | DW | 13.09.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Hali ya usalama baada ya mashambulizi dhidi ya Rais mpya wa Somalia

Mashambulizi ya jana (12.09.2012) kwenye hoteli alimokuwemo rais Sheikh Mohmud Hassan wa Somalia, yamezusha maswali juu ya matumaini ya mustakbali wa nchi hiyo.

Mashambulizi mjini Mogadishu

Mashambulizi mjini Mogadishu

Nini sababu ya mashambulizi hayo kwenye mchakato mzima wa amani nchini Somalia? Muda mfupi uliopita Daniel Gakuba amezungumza na Prof Tom Namwamba, mchambuzi wa masuala ya Somalia aliyeko mjini Nairobi, na alianza kwa kutoa maoni yake kuhusu usalama nchini Somalia.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Daniel Gakuba

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada