1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya hatari yatangazwa Ituri na Kivu ya Kaskazini

3 Mei 2021

Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametangaza hali ya hatari katika majimbo ya Ituri na Kivu ya Kaskazini kwa lengo la kurejesha hali ya usalama. Hatua hiyo ya mzingiro wa kijeshi imezusha hofu ya kuongezeka kwa vitendo vya ukiukwaji wa haki za binaadamu. Tumezungumza na Onesphore Sematumba, mtafiti wa masuala ya usalama katika eneo la Maziwa Makuu, Je hatua hiyo itasaidia?

https://p.dw.com/p/3stUi