Hali bado inatisha Tigray | Media Center | DW | 27.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hali bado inatisha Tigray

Raia wa Tigray waendelea kuyakimbia mapigano katika jimbo hilo wakati juhudi za kutafuta suluhisho la kuusitisha mgogoro huo zikishika kasi. Nchini Tanzania wanachama 19 wa chama kikuu cha upinzani Chadema walioamua kula kiapo cha kuwa wabunge wa kuteuliwa kinyume na matakwa ya chama chao,wakabiliwa na kishindo kikubwa.Sikiliza Afrika wiki hii na Saumu Mwasimba

Sikiliza sauti 20:06