Guinea: Mwanablogu anayepigania uhuru wa kujieleza | Vijana Mubashara - 77 Asilimia | DW | 16.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vijana Mubashara - 77 Asilimia

Guinea: Mwanablogu anayepigania uhuru wa kujieleza

Mwanablogu Sally Bilaly Sow anafichua maovu ambayo vyombo vya habari havifichui nchini mwake Guinea. Blogu yake "Villageois 2.0" inawapa vijana nafasi ya kujieleza mtandaoni

Tazama vidio 03:15
Sasa moja kwa moja
dakika (0)